HISTORIA FUPI YA
TUCASA
Chama kilianzishwa lasimi mnamo mwaka wa masomo 2008/2009
kikiwa na jiana la (THISDASO)-ST.
JOSEPH [Tanzania Higher Learning Institutions Seventh Day Adventist Students
Organization]
Mnamo mwaka wa masomo
2012/2013, chama kilibadili jina kutoka THISDASO
na kua (TUCASA)-ST. JOSEPH [Tanzania
Universities & Colleges Adventist Students Association]
MALENGO YA CHAMA
Ø
Kutangaza injili kwa watu ili wamjue Kristo kama
ilivyo agizwa katika Mathayo 28:19,20
Ø
Pamoja na hilo , ni kupeleka ujumbe wa malaika
watatu upatikanao katika Ufunuo 14:6-12
Ø
Ili kutimiza utume huu, sisi kama WANATUCASA ST.
JOSEPH tunafanya yafuatayo:-
1.
Tunasambaza vitabu vya Tumaini kuu na Vijizuu.
2.
Tunaendesha vipidi vya dini chuoni.
3.
Tunafanya effort za hadhara kulingana na kalenda
yetu ya mwaka.
4.
Tunajifunza na kuhamasisha madarasa ya kujifunza
biblia.
5.
Tunafanya uinjilisiti kwa njia ya mitandao
(Internet).
6.
Tunafariji na kutembelea vituo vya watu wasio
jiweza, watoto yatima, wazee, wagonjwa na wafugwa magerezani.
7.
Tunamtangaza Mungu kwa njia ya uimbaji.
8.
Tunatoa huduma ya masomo ya afya.
CONTACT US VIA:-
Email: tucasastjoseph@gmail.com
Tel: 0712121195
(Mkuu wa mawasiliano TUCASA)
0767121195
0656782957
(Mwenyekiti TUCASA)
0752042418